Dkt. Salim atimiza miaka 80, Rais Samia ampongezaj



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepongeza Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania (1984-1985) Dr. Salim Ahmed Salim kwa kutimiza umri wa miaka 80 leo Januari 23, 2022.

Dkt. Salim pia amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika (AU) kuanzia Septemba 1989 hadi Septemba 2001.

Mbali na Rais Samia, viongozi mbalimbali duniani wampongeza na kumtakia kheri.


Baadhi yao barani Afrika ni Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, Rais Ramaphosa wa Arika Kusini na Rais Paul Kagame wa Rwanda.


 
Nje ya mipaka ya Afrika amepongezwa na Mshauri wa sera za ndani wa Marekani Susan Rice.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad