Drone Isiyojulikana Yasimamisha Mechi Dakika 20



Mchezo wa #Brentford'm dhidi ya #Wolves ulisimama kwa dakika 20 kutokana na 'drone' kuonekanekana juu ya uwanja huku mamlaka zikiwa haziitambui drone hiyo.

Wachezaji walitakiwa kutoka uwanjani kwa muda na baada ya maofisa wa uwanja na usalama kuishughulikia kisha drone kuondoka eneo la uwanja, wachezaji walirejea na mchezo kuendelea.

Tukio hilo lilitokea jana katika mchezo huo wa Premier League. p
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad