Web

Furaha ya Harmonize Kufanya Collabo na Tunda Man..Aandika Haya




Inawezekana kwa msanii mwingine,mafanikio makubwa ni kufanya kazi na wasanii walio nje ya mipaka ya Tanzania, hii ipo tofauti kwa msanii @harmonize_tz ambae ameonekana kuwa interested kufanya kazi na watu ambao aliwakuta kwenye game hapa nchini,ukiachana na Diamond ambae alikuwa Boss wake, msanii huyo amefanya kolabo na @h.baba_ huku akiweka wazi tamaa yake ya kufanya kazi na 20% pamoja na Mb Doggy.

Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameweka wazi kuingia studio usiku huu na msanii mkongwe na mwenye heshima yake Bongo, @tundamantz huku akibainisha furaha yake kufanya kazi na msanii huyo ambae akiwa primary, Harmonize aliimba nyimbo zake.

Sema hivi Harmonize Jackson akiwa Primary, 2ndaman alikuwa anaimba eeh?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad