Hadija Kopa Abariki Ndoa ya Diamond na ZUCHU "Yule Mwanaume na Zuchu Mwanamke"



Malkia @officialkhadijakopa amesema haoni tatizo la @diamondplatnumz kumuoa mtoto wake @officialzuchu kwa kuwa sio ndugu wa damu.

Amesema hayo akihojiwa na Wasafi TV baada ya tetesi zikusambaa katika vyombo kwa habari kwa wawili hao wapo kwenye mahaba mazito wako mbioni kufunga ndoa.

“Mimi sijui chochote jambo linaanzaga nyumbani kwa mtoto wakiume na ndio mposaji na muoaji unaniuliza mimi, mimi sijui chochote,” alisema Khadija Kopa

Aliongeza “Lakini vile vile hata kama litakuwepo yule mwanaume yule mwanamke kuna tatizo gani? Kwani wale baba mmoja Mama mmoja si kila mtu na Baba yake na Mama yake kuna tatizo gani,”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad