Harmonize Akubali Yaishe kwa Country Boy "I Wish You All The Best Go Make me Proud"



Kwa mara ya kwanza C.E.O. wa record label ya KondeGang @Harmonize ameandika ujumbe kuhusu kuondoka kwa aliyekua rapper na msanii wake @countrywizzy_tz

Harmonize ametumia insta story yake kueleza machache kuhusu rapper huyo , kwa kumtakia heri katika safari yake mpya nje ya KondeGang, huku akimshukuru kwa miaka miwili aliyoitumia chini ya usimamizi wa record label hiyo.

C©✍🏾@keviiiy.iam


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad