Aslay alianza hivihivi, kila akishiba Ugali anaachia ngoma, akiamka anaachia ngoma, akipigwa busu na pisi yake tayari anatunga na kuachia ngoma. Mwisho wa siku tukamzoea na akapotea.
Sometimes kujifunza kwa waliotangulia sio mbaya. Diamond ndani ya mwaka jana kachia ngoma chache sana lakini kapata tuzo kadhaa, Harmo anafurushi la nyimbo lakini hajapata hata tuzo ya Mbao inayotelewa na HBABA.
Kwa hili Harmo kafeli sana, sasa kila mwezi akitoa ngoma, inamaana Killy, Cheed, Anjella na Ibrah hawatatoa ngoma au? Unajua hata Kuondoka kwa Country boy Kumesababishwa na mambo haya haya yani Boss anaachia ngoma zake kila siku na anasahau kupromote wasanii wake.
Hopetyga