Harmonize Atoa Onyo "Hakuna Tembo Mwembamba Sinaga Utani na Swala la Kazi"



Ushaitazama video ya Ni Wewe, Ya kwake @officialkilly_tz ft @harmonize_tz ? Kama bado kaicheki huko ndani utakutana na tembo kibonge anavunja kama Michael Jackson😁.

Kupitia Instagram ya Harmonize, ameandika kuwa alitoa Onyo kwa killy kuhusu kuvunja, licha ya kuambiwa hawezi kutokana na ubonge wake.

“Ninachoshukuru Nilikupa Onyo Mapema Kwamba Sina Masihala wala Udugu Linapo Fika Swala La Kazi Ukasema Huwezi Ushakuwa Mnene Nikakujibu Hakuna Tembo Mwembamba ....!!!!!! Hata Akijikondesha Atarudi Kwenye Umbile Lake 🤣🤣 YAMEKUKUTA MDOGOANGU @officialkilly_tz Nazani Hukuyategemea Haya @officialkilly_tz OYAA GO CHECK OUT KONDE (MJ ) @michaeljackson RESPECT LEGENDS NEVER DIE 🙏 Link on his bio @officialkilly_tz 🏁🏁🏁🏁"

Video hiyo hadi sasa ina views 500k+ ndani ya muda mfupi toka iwe uploaded.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad