Hawa Hapa Waandishi Waliofariki Kwenye Ajali ya Gari Iliyouwa Watu 14


Waandishi wa Habari waliofariki katika ajali iliyo husisha moja gari la msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza iliyo gongana Haice ni Husna Mlanzi wa ITV, Antony Chuwa, Vanny Charles wa Icon, Abel Ngapemba Afisa Habari Mkoa na Johari Shani wa Uhuru Digital.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad