Huwezi Amini Huyu Aliyekuwa Kiongozi wa CUBA Ndio Mwanaume Anayeshikilia Rekodi ya Kufanya Mapenzi na Wanawake Wengi Zaidi Duniani



Aliyekuwa Kiongozi wa Cuba, Fidel Castro anashikilia rekodi ya kuwa Mwanaume pekee aliyefanya Mapenzi na Wanawake wengi zaidi Duniani.
Kwa mujibu wa wasaidizi wake wa karibu kipindi cha uhai wake, Fidel Castro alifanya Mapenzi na Wanawake 35,000 tofauti.

Fidel alikuwa ni Kiongozi mwenye ushawishi mkubwa na tishio kwa Marekani, amewahi kukutana na Viongozi wakubwa Afrika akiwemo Mandela, Nyerere, Mugabe nk, alifariki akiwa na miaka 90.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad