Jack Clif Alitoka Jela na Simu ya Macho Matatu


Life halijawahi kuwa sawa, Jackie Cliff ametoka jela, lakini bado anaunyamwezi uleule kama wa zamani, ujanja kibao, mapicha ya kijanja, anamiliki Simu kali.

Wakati kuna mtu mwingine anaomba asitoke jela maana akitoka tu kitaani hapaeleweki, Mke amemshamkimbia, Nyumba imeuzwa, kiwanja hakuna, watoto wameibiwa, madeni kibao, ndugu wameshamtenga.

Aisee kama Familia yenu haikujaliwa kipato kizuri hakikisha wewe hapo unapambana sana ili watoto wako waje waishi maisha mazuri mbeleni.

Nadhani umeona Jackie katoka Jela na afya tele wakati wewe hapo tu ukilala cello siku mbili unarudi na mwili wa ajabu kama vile unakifaduro, unaunyafuzi au utapiamlo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad