Jeshi la Msumbiji Limemkamata Raia wa Tanzania Ambaye Anadaiwa ni Kiongozi wa Kikundi cha Kigaidi


Jeshi la Msumbiji limemkamata raia wa Tanzania ambaye anadaiwa ni kiongozi wa kikundi cha kigaidi katika Wilaya ya Nangade katika Jimbo la Cabo Delgado.

Kijana hiyo aliyefahamika kwa jina moja la Ali, mwenye umri wa miaka 39 amekamatwa pamoja na watu wengine sita ambao wanahusishwa kuwa na mfungamano na kundi la kigaidi la Dola ya Kiislamu (Islamic State).

Afisa wa jeshi amesema kuwa Ali ni mmoja wa viongozi wa kikundi hicho ambao jukumu lao ni kutafuta wapiganaji wapya na kuratibu mashambulizi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad