Job Ndugai Ailaume Mitandao "Mitandao Inanguvu Inaweza Kupeleka Ajenda Ambako Haikua"
0
January 03, 2022
Job Ndugai "Mitandao siku hizi ina nguvu, inaweza ikatengeneza ajenda, ikapeleka ajenda ambako wala haikuwa, na majadala ukawa ni wa moto sana." - Spika wa Bunge, Job Ndugai
Tags