Job Ndugai "Sijalazimishwa Kujiuzulu Nimeamua Mwenyewe"


Job Ndugai amesema kwamba uamuzi wa kujiuzulu Uspika ameufanya kwa hiari yake mwenyewe kwa kujali maslahi mapana ya Taifa, serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Amesema hayo katika barua yake ya kujiuzulu aliyoituma kwa Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu wa CCM kwa ajili ya hatua zaidi kwa mujibu wa katiba ya Tanzania ili kuwezesha kupatikana kwa spika mwingine.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad