Job Ndugai "Namuomba RADHI Sana Rais Samia"

 


“Kwa namna moja ama nyingine, binafsi yangu, kama labda kwa namba moja ama nyingine nimetoa neno la kumvunja moyo Rais wetu na akavunjika moyo nitumie fursa hiyo kumuomba radhi sana mheshimiwa Rais na kwa Watanzania wote.


“Haiwezi kutokea, haitatokea na siyo rahisi kutokea, Rais ndiye kiongozi wetu mkuu, tumuheshimu, peke yake hataweza, tumsaidie, kwa sababu kwa pamoja tunaweza kwenda mbali zaidi,” - Job Ndugai akizungumza na waandishi wa habari ofisi za Bunge, Dodoma, leo Jumatatu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad