Baada mchezaji @bm3gh Bernard Morrison kudai kuwa mchezaji mwenzake @jonasmkude20 amekua akimfundisha lugha ya kiswahili chenye matusi, hatimae kiungo huyo wa simba sc amekanusha hilo.
Mkude amekanusha hilo kupitia show ya #lavidavi ya wasafi fm, akijibu moja kati ya maswali ya mtangazaji @divatheebawse alietaka kujua kama ni kweli au la! Jambo ambalo Mkude amekanusha na kudai #bernadMorrison ni mtu mcheshi na alizungumza swala hilo katika hali ya ucheshi tu.
C©✍🏾@keviiiy.iam