NILISEMA MIMI MGANGA AKIAGIZA DAGAA UJUE KAFIKIA TAMATI KUUGIZA WATEJA 🤣🤣🤣🤣🤣
JANA SAA 4 ASUBUHI VIJANA WATATU WOTE KWA PAMOJA WAMEAMUA KUJITOA KUNDINI AWATAKI TENA KUENDELEA KUSIMAMIWA NA GROUP …… KWA MADAI AWAONI CHA MAANA TOKA WAMEINGIA KUJIUNGA NA GROUP ILO 🤦🏼🤦🏼🤦🏼
ZA NDANIIIIIIIII KABISA …….. VIJANA WATATU WOTE WAMEMWAMBIA BOSS WAO JANA …… KUHUSU MAKARATASI WALIYO MWAGA WINO ILI KURUDISHA MIPUNGA YA BOSS ITAKUWAJE SASA …..?
YULE MSANII WA KUFOKA NASIKIA KASAMEHEWA DENI LOTE ILA WALE WAWILI WALIOTOKA KWA MSANII WA KARIAKOO WAMEAMBIWA WALIPE NDIYO WATOKE 🤦🏼🤦🏼🤦🏼🤦🏼🤦🏼
MPAKA SASA MSANII WA KUFOKA YUPO HURU KUFANYA KAZI NA MTU YEYOTE JAMANI ILA WALE VIJANA WAPO KWENYE NONDO BADO WANATAKIWA KUMLIPA BOSS WAO NA WAO WANATAKA KUTOKA ……
BOSS WAO ANATAKA WAONDOKE KWA AMANI WATU WASIJUE NA WASHIRIKIANE WATAKAPO KUTANA ….. ATAKI KUACHANA NAO KWA MANENO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤦🏼🤦🏼
WAMBEA VUTENI VITI 🪑🪑🪑🪑🪑 SAFISHENI MACHO SOON LINATUMBUKA NI JAMBO LA MUDA KWA KUWA TUKIO LIMETOKEA JANA SAA 4 ASUBUHI
PLZ USIMTAJE MTU KAMA UJAMJUA NTAKULIMA BLOCK SITAKI SHOBO MXIIIIUUUUU
🪑🪑🪑🪑🪑 JE KAKA WA KARIAKOO ATAWAPOKEA VIJANA WAKE TENA ….?