Kama Huna Pesa ni Wewe tu, Hii Ndio Shule Ambayo Ada ya Secondary ni Milioni 74 na Iko Full


Ili mwanao apate Elimu kutoka Interntional School of Tanganyika (IST) utalipa Ada ya Tsh milioni 74.56 kwa mwaka ngazi ya Sekondari.

Ngazi ya Awali ni kuanzia Ada ya Tsh milioni 36.12 na kuendelea.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad