Kama Ulizani Diamond Kamtema Aliyezaniwa Kuwa ni Dada yake wa Damu Qeen Darlin Basi Umekosea...Ona Hii


Baada ya kimya cha muda mrefu n story za hapa na pale kuhusu uwepo wake ndani ya record label ya WcB Wasafi, hatimae boss wa label hiyo @diamondplatnumz ameamua kuweka wazi juu ya ujio mpya wa first lady wa wcb @queendarleen_

Kupitia insta story yake @diamondplatnumz ameshare sehemu ya video clip ikimuonesha @queendarleen_ akiwa studio tayari kwa ajili ya maandalizi ya kazi mpya.

C©. @keviiiy.iam


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad