Unaambiwa #Kanyewest bado anamkaa kooni mpenzi wa #kimkardashian Ambae anafahamika kwa jina la #petedavidson, Sasa stori kutoka kwa watu wa karibu na YE wanasema kuwa Jamaa anasambaza maneno kuwa PETE ni muathirika wa virusi vya Ukimwi.
Na moja kati ya watu wa karibu na PETE #DJAKADEMIKS alidai kuwa Mwanzoni mwa wiki hii YE alikuwa akiwang'oneza watu na kuwaambia kuwa Pete ni muathirika.
Moja ya ushahidi ambao inasemekana anawaambia watu ni Kusisitiza kuwa Jamaa huwa anamatatizo ya kiafya mara kwa mara.
Lakini pia miongoni mwa watu wa karibu na YE anasema Tuhuma hizo sio za kweli ni Ujinga tu.
KANYE WEST alishawahi kusema kuwa yupo tayari kurudiana na Mpenzi wake wa zamani KIM wakati akiwa kwenye tamasha lake huko LOS ANGELS COLISEUM
Je Kama ni kweli Kanye west anasambaza Skendo ya kuwa mpenzi wa EX wake anaukimwi Sababu inaweza kuwa anahitaji kurudiana nae?