Kauli ya MKE wa Mwijaku Baada ya Rais Kumtaja "Apunguze Mambo ya Kujinga"




Siku nzima ya jana na hadi Leo Headlines zimekuwa kumuhusu mdau wa muziki nchini na mtangazaji Wa Clouds Media Group, @mwijaku_01 kupewa pongezi na Mh. Rais Samia Suluhu Hasan kwa njia ya simu kama moja ya walio fanikisha zoezi zima la kusherehekea Birthday ya Mheshimiwa kwenye shule ya Benjamini mkapa jijini Dsm hapo jana tarehe 27.

Hasa baada ya tukio hilo, kupitia dawatini, Leo Tena ya Clouds Fm, mke wa Mwijaku amemtaka mumewe kujitafakari na kuacha au kupunguza mambo mengine ya kijinga maana kwasasa anafahamika na watu wakubwa,viongozi akiwemo Mh. Rais Samia Suluhu. Kama kusifia au kukosoa, asifie/akosoe kwa njia sahihi. Kwa upande wa Mwijaku amemuahidi mkewe kubadilika na kufwata ushauri wake.

Kwahiyo Mwambino kapona?😁

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad