Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR MAGEUZI, James Mbatia la kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, JOB NDUGAI na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge.
Kesi ya Kupinga Ndugai Kujiuzulu ya Yatupwa
0
January 28, 2022

Tags