Kumbe Country Boy Kaondoka Konde Gang Karudi Kwa Mabosi Wake wa Zamani..Petiman Afunguka



Yes kwenye maisha tumezaliwa tumelelewa na wazazi wetu kuna muda unafika lazima utoke nyumbani kwenda kuanza maisha yako ila sio kwamba maisha yakikushinda ushindwe kurudi kwenu No unaenda kutafuta maisha ukiona maisha magumu unarudi nyumbani sababu ujafukuzwa kwenu na kwenu ni kwenu Ahsante sana familia ya @kondegang kwa kipindi chote mlichokuwa na @countrywizzy_tz na kufanya nae kazi nyingi pia nachukua nafasi hii kuwashukuru fans wote waliokuwa wakiendelea kusuport msanii mpk alipofika sasa hv yes mimi pamoja na @john_tojo @big_xhexhe tumempokea @countrywizzy_tz kwa mara nyingine tena na milango ipo wazi na sikuwahi kuacha kumsupport sababu sisi familia WELCOME BACK NINJA🙏🏽 #KaziIendelee'' @petitman_wakuache

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad