Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan leo na kesho ataongoza kikao cha kamati kuu ya CCM kuchuja nakufanya uteuzi wa wa wagombea uspika wa Bunge, kati ya wagombea 70 waliojitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho kisha kupigiwa kura na kamati ya wabunge Dodoma.
Leo Ndio Leo, Mchakato wa Kupata Wataogombea Kiti Cha Uspika Kati ya 70 Waliochukua Fomu Kufanyika Leo
0
January 19, 2022

Tags