Maafisa Habari Watoa Angalizo Kuhusu Kauli ya Makamba Tanesco



Siku chache tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba atoe kauli ya kuvunjwa mara moja kwa kitengo cha mawasiliano mfumo mzima unaojihusisha na utoaji wa taarifa ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa wananchi kwa madai ya kushindwa kutimiza majukumu yao, kuna kauli imetolewa juu ya maamuzi hayo.

Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania (PRST) kimetoa angalizo juu ya maamuzi ya kuvunjwa kwa kitengo hicho na kuahidi kutoa tamko hivi karibuni.




Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad