Mange Kimambi Amfungukia Nape Nhauye "Nilikuwa Nakuchukia Ila Ghafla Nilikupenda Kufa Ulivyopambana kwa Ujasiri Baada ya Bashite Kuwavamia Clouds"

 



Mange Kimambi Ameandika haya:

Nyie maisha haya bwana.

Kuna kitu nimejifunza aisee, ukiwa kiongozi usijisahau. Hivi Bashite ana hali gani huko alipo? Si itakuwa anahaha mpaka tako linatikisika lenyewe?


Hongera Nape, ushauri wangu, msiwalipe kina Bashite kwa kuvunja sheria kama wao walivyofanya kwenu. Mtuonyeshe kuwa nyinyi ni tofauti na wale. Hatutaki viongozi wababe ever again!!! Tunataka viongozi wenye hekima na busara.

Kuna watu wana expect nchi itarudi kwenye ufisadi and so forth, please prove them wrong. Wewe na viongozi wengine wote ambao Magu aliwaondoa na mama kawarudisha, please don’t let her down. Fanyeni mama aonekane yuko sahihi kuwarudisha nyinyi na mwendazake was wrong kuwaondoa…

I have had such a love-hate relationship with you over the last 5 years. Nilianza kukuchukia ulivyopeleka ile sheria mpya ya habari, nikakuchukia zaidi juu ya bunge live. Ila ghafla nilikupenda kufa ulivyopambana kwa ujasiri baada ya Bashite kuwavamia clouds na nilikupenda zaidi jinsi ulivyoondoka kishujaa haki nilikuheshimu huwezi jua. Na watanzania walikuheshimu hutokaaa uelewe. Ila baadae ukasalimu amri, nikajikuta naanza kukuchukia upyaaaa. Ungejitahidi ukakomaaa na msimamo kama Makamba.

Ila anyways, I guess yamepita.

@Bimdo niacheee jamani sijamsema vibaya. Nimeongea vizuri tu maana najua meseji za nimekuchoma moyo wako zinakuja in 1..2…3

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad