"20 years ago today in Oakland, California at Highland Hospital nilizaa kabinti special. Nikakaita Cassandrah Cutiey.
Nilikuwa na miaka 22, I was alone kwenye nchi ya kigeni, nyumbani baba yangu alikuwa ameni disown, boyfriend niliekuwa nimebeba mimba yake alikuwa keshampa mimba na mwanamke mwingine. Yani siku nazaa kulikuwa na mwanamke mwingine ana mimba tayari ya boyfriend. Imagine stress niliyokuwa nayo hii siku.
Labor room nilikuwa na rafiki yangu wa KiTanzania ambae nilikutakana nae kwneye college niliyokuwa nasoma, Natalia Bakilana pamoja na mume wake. Walitaka kuona mtoto anatokaje🤣🤣They held my hand and gave me hope.
Kuna dada mwingine ndo alinipeleka hospitali na kunifata wakati natoka, nimemsahau jina. Na Aunty yangu mmoja alikuja kukaa na mimi first 2 weeks za kujifungua. Alishafariki. Mungu amlaze mahali pema peponi.
Despite all the heartache I chose to carry my baby to term na sio kutoa mimba although nilijikuta niko mwenyewe kwenye safari ya mimba bila familia wala nani.
I was depressed ila the moment I held my baby in my arms nikaona kama kuna new hope and she was the cutest thing I had ever seen ndo hapo hapo nikampa jina la Cutiey.
Kuna kitu namwambiaga mwanangu always which is one day utakuwa mwanamke uta experience maisha na utawajua wanaume then utanielewa zaidi, now huwezi kuelewa.
Happy 20th birthday kwa kabinti special.
I’m not the perfect mom, and we never saw eye to eye on a lot of things but one thing we can both agree on is that I love you to the moon and back.
Thank you for being an amazing daughter. I’m so proud of the young woman you have become. Keep reaching for the stars.
Guys, nna mtoto ana miaka 20. Uwiiiiii..Nyie mwenzenu nilizaaga mwanasheria mjue? Nyie mnajua mwanangu yuko chuo kikuu?
It’s the eye brows for me 🤣
Ntawapostia hizi picha kwenye app muone nilivyokuwaga kifuani kabla sijanunua matiti ya wazungu🤣
Note: Mi na mwanangu relationship yetu haipo kwa social media hata leo kidogo ni siposti hii maana tushaongea na kutumiana zawadi. Hii posti nimeweka tu ili waja wasianze maneno oooh wale watoto wake wazungu ndo anawaposti kuwish happy birthday. Yule mwingine huwa hataki kumposti"