Maskini Zamaradi JINA Lake Latumika Katika Utapeli wa Mikopo Mitandaoni...Afunguka Haya


Reposted from @zamaradimketema OGOPA MATAPELI

Kuna hawa watu wanaotumia jina langu kudhulumu kwa kuwadanganya watu ni watoa mikopo huko Facebook

Jamani SIHUSIANI KABISA NA KITU CHA NAMNA HIYO, sijawahi kuwa na kampuni ya mikopo na wala sina wazo hilo na sitakuwa nayo!!!! msidanganyike, naona namba ya huyo tapeli ni hiyo na anaingiza watu wengi kingi, kila siku nimekuwa nikitumiwa hii na wale wenye access na mimi na nimeona imekuwa serious ndiomana nimeona niiaddress kuepusha wengine kudhulumiwa

Binafsi Sina kampuni ya mikopo epuka matapeli, Na tafadhali mwambie na mwingine asiingie kwenye mkumbo huu

Ukiona nimetangaza kitu chochote kinachohusiana na Mikopo basi ninatangaza kama BALOZI wa taasisi inayoeleweka ya CRDB ambayo kilakitu kinafanyika kwenye matawi yao na si njia za ujanjaujanja, na tena utakipata Hapa kwenye page yangu hii na si kwingineko kokote!!! Narudia tena, Sina taasisi ya fedha wala sitoi mikopo popote pale epuka matapeli jamani msidanganyike!!!

Hizo zote juu ni FAKE na sio mimi!!
Asante.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad