Pauline Zongo na mumewe wamerudi Missana Sober House kwa mara ya ingine. Pia mtoto wa Pauline anaishi hapo sober house kwa sasa na anasaidiwa na Missana Sober House
Tuwaombee this time Pauline na mumewe wakae Missana Sober House kwa muda wote unaotakiwa mpaka watakapopona.
Huyu kwani anatumia Madawa au ni muasirika wa pombe?
ReplyDelete