Maskini...Watalii Waangukiwa na Mwamba, Wafariki Wengine Wapotea

 


Takribani watu sana wamepoteza maisha na wengine watatu wamepotea hawajulikani walipo baada ya mwamba kumeguka na kuwaangukia wakati walipokuwa katika boti ya utalii nchini Brazil.


Watu wengine 32 wamejeruhiwa katika tukio hilo, tisa kati yao wakiwa wameumia vibaya kutokana na bodi kadhaa zilizokuwa zikipita ndani ya ziwa kuangukiwa na mwamba huo wakati wakitalii.


Tukio hilo limetokea jana Jumamosi katika Jimbo la Minas Gerais.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad