Maua Sama Ataja Sababu za Kuachana na Mpenzi Wake Mzungu

 


Maua Sama alichagua muziki mbele ya penzi la mzungu ambaye alimtaka mwimbaji huyo aache muziki na ahamie nchini Italia ili waishi pamoja. Kwenye mahojiano na mtangazaji @ecejay kupitia kipindi cha #SalamaNa Maua Sama alisema;

“Nilikuwa na boyfriend Mzungu kutokea Italy lakini alitaka niache muziki nikaishi nae na hiyo ni passion yangu na ni kitu ambacho sikuweza kufanya.”- @MauaSama

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad