Maua Sama alichagua muziki mbele ya penzi la mzungu ambaye alimtaka mwimbaji huyo aache muziki na ahamie nchini Italia ili waishi pamoja. Kwenye mahojiano na mtangazaji @ecejay kupitia kipindi cha #SalamaNa Maua Sama alisema;
“Nilikuwa na boyfriend Mzungu kutokea Italy lakini alitaka niache muziki nikaishi nae na hiyo ni passion yangu na ni kitu ambacho sikuweza kufanya.”- @MauaSama