Maxrioba "Hakuna Maneno Zaidi ya Kuelezea Utendaji wa Mama..Amepambana”


Ameandika Maxrioba

"Hakuna maneno zaidi ya kuelezea utendaji wa “Mama.”

Imagine ameingia kwenye ofisi ghafla, bila kutegemea, bila kujua. Napata shida sana kuona ni mambo mangapi amelazimika kuyaweka sawa bila uwepo wa Magufuli. Ni vitu vingapi viliachwa pending ambavyo imebidi apambane navyo tu kwa busara na hekima vikamilike, ameingia, anapambana, anaboresha, anatafuta, anashughulika, kila siku bila kuchoka, bila kukwama. Tunapaswa kumpongeza kwa kweli.

Nafikiria tu jinsi majukumu yake yalivyo mengi nampa sifa na pongezi hadi hapa alipotufikisha.

Nchi ina amani na utulivu chini ya uongozi wake wa miezi kadhaa tu.
Mungu aendelee kukupa nguvu na hekima, ulifikishe taifa letu kule linapopaswa kufika chini ya uongozi wako.

Tuko na wewe Bega kwa bega!

Let’s go momma! You lead, we follow!

My #wcw kwa kweli. An Iron Lady.

@samia_suluhu_hassan" Maxrioba
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad