Mbatia Atoa Atoa Mpya "Ndugai Bado ni Spika Ilipashwa Ajiuzulu Mbele ya Kikao cha Kamati ya Bunge


"Utaratibu uliofanyika jana wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika wake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 149 haikufatwa, kwahiyo ndugu Ndugai mpaka sasa hivi bado ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitakiwa kwenda kujiuzulu mbele ya Kikao cha Kamati ya Bunge” ——— asema James Mbatia Mwenyekiti NCCR Mageuzi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad