Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Achukua Fomu ya Uspika


Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge leo Jumatato Januari 12, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.
Chenge amechukua fomu hizo katika Ofisi za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad