"Hadi ninavyozungumza na ninyi hapa soko la Machinga COMPLEX limeshajaa. Ni sehemu mbili ambazo tunakusanya mapato Machinga Complex na Mchikichini halafu tuliunguze kwa makusudi kwa mfano tunaamua tuwaondoshe wamachinga tujenge soko maana yake ni lazima tutawatafutia eneo"- Omar Kumbilamoto, Meya Jiji la Dar es Salaam
Meya Jiji la Dar es Salaam "Serikali Haijachoma Soko la Karume"
0
January 18, 2022

Tags