Mrembo Official Lyyn Atamani Ajioe Mwenyewe



STORI za wanawake kujioa wenyewe zinashika kasi duniani huku sababu zikiwa ni tofaautitofauti kama kuchoshwa na usaliti wa wanaume, magonjwa, ulemavu na nyinginezo.

KibongoBongo, pepo huyo amemuingia mrembo ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Lyyn ambaye naye ametangaza azma yake ya kutamani kujioa mwenyewe.

Lyyn ambaye aliwahi kukiri kutoka kimapenzi na staa wa muziki Bongo, Diamond Platnumz anasema; “Yaani kama nijioe mwenyewe…”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad