Web

Msemaji wa Simba "Yanga Wanatamani Kuwa na Mimi Ndio Maana Nilivyoteuliwa Wakaanza Kutafuta Mafaili"


“Yanga wanatamani kuwa na mtu kama mimi, ndiyo maana baada ya uteuzi wangu wakawa wanahaha kuanza kutafuta mafaili kuonyesha kwamba huyo pia ni Yanga, hii ni ishara kwamba hata wao wanatamani kuwa na mtu kama mimi,”

“Angeteuliwa hafisa habari wa kawaida kawaida pale simba, wasingehangaika kufukua mafaili, wasinge hangaika kutafuta taarifa zangu, lakini kwa kuwa nimeteuliwa mimi ambaye wananipenda, wananihitaji niwe pale kwao ndio maana wakaanza kuhangaika,” Menaja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya @simbasctanzania @ahmedally_

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad