1.Kukaa bar kunasaidia usigombane na jiran zako🤣🤣🤣
2.Kukaa bar kunakusaidia kutokua mbea, maana mambo ya majiran zako utakua huyajui coz wew upo bar muda wote🤣🤣
3.Kukaa bar kunakusaidia pia usipate muda wa kutongoza wake za majirani zako au wapangaji wenzako🤣🤣
4.Kukaa bar kunapunguza stress za ugumu wa maisha🤣🤣
5.Kukaa bar kunaleta michongo ya hela coz matajiri wengi hupenda kuja bar kwahiyo ni rahisi kukutana nao na kudiscuss maisha.🤣🤣
6.Kukaa bar kunakufanya uonane na marafiki zako kirahisi coz wakija kunywa mnakutana mnafurahi🤣🤣
*Please toka nyumbani njoo bar😀👍🏽💪🏾*