Muigizaji Idris Elba yupo kwenye mazungumzo na Watayarishaji wa filamu za ‘James Bond


Muigizaji Idris Elba yupo kwenye mazungumzo na Watayarishaji wa filamu za ‘James Bond’ kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Daniel Craig ambaye alitangaza kuiacha nafasi hiyo baada ya filamu ya No Time To Die.

Miongoni mwa waigizaji wa kiume wanaotajwa ni pamoja na Tom Hardy, Regé-Jean Page na Henry Cavill lakini Idris Elba anatajwa kwenye nafasi ya kipekee kuwa 007 ajaye. Mtayarishaji Mkuu wa filamu hizo  Bi. Barbara Broccoli amethibitisha hilo.  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad