Mwamba Aliyechoma MOTO Bunge la South Afrika Afikishwa Mbele ya Pilato


Mwanaume kutoka Afrika Kusini aitwaye Zandile Mafe (49) amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo la ugaidi baada ya kukamatwa maeneo ya Bunge la Nchi hiyo muda mfupi baada ya Bunge kuwaka moto January 02,2022.

Mwanaume huyo anatuhumiwa kuchoma Bunge ambapo camera za CCTV zilimdaka akiwa maeneo ya Bunge.

Anatuhumiwa pia kwa nia ya kutaka kuiba laptop na kumbukumbu nyingine muhimu za Kibunge.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad