Ameandika............"NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU MWAKA TUMEUONA SALAMA, LAKINI PIA NINGEPENDA KUMSHUKURU KAKA ANGU @harmonize_tz NA @kondegang KWA UJUMLA NAKUMBUKA MWAKA JANA TAREHE KAMA YA LEO NILIFIKA OFFICE YA KONDE MUSIC NIKIWA NA BABA YANGU TULIENDA KWAAJILI YA KUONANA NA BIG BOSS @harmonize_tz BAADA YA KUTANGAZA NA KU COMFIRM KUA MIMI NDIYE NITAKAEFANYA NAE COLLABORATION NA IKAPATIKANA #ALLNIGHTSONG KAKA YANGU MUNGU AKUTUNZE POPOTE UKANYAGAPO UKAWE BARAKA UMENIHESHIMISHA KILA SEHEMU😣 NAKUPENDA SANA NA NINAKUKUBALI SANA
HAPPY NEW YEAR🥳🥳🥳''