Mwanasheria Cosota "Wimbo wa Msanii Ukipigwa BAR au Kwa Harusi Anatakiwa Kulipwa"




"Kwa mujibu wa sheria COSOTA imepewa majukumu ya kusimamia haki miliki nchini mojawapo katika hayo mambo ni kuhakikisha wasanii wanapata royality (mrabaha) inapatikana pale msanii ambapo kazi zao zinatumika maeneo mbalimbali ya kibiashara kwenye kumbi za disko, mabaa, mabasi, sherehe, 'harusi' televisheni, redio. Maeneo hayo yote yanatakiwa kulipa mrabaha ambao utagawiwa kwa msanii" Lupakisyo Mwambinga, Afisa Sheria COSOTA


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad