Mwigizaji JB Atangaza Kuacha Kuingiza..Atangaza Kazi Yake Mpya


Star Wa Filamu Nchini @jb_jerusalemfilms Ametangaza Kuachana na Uigizaji na Kuhamia Rasmi Kwenye Utayarishaji

"Watazamaji Walivyokuwa Wakiniona Kwenye Runinga Zao Kama Muigizaji, Nilikuwa Nabeba Kofia 2, Yani Kama Muigizaji Lakini Pia Producer (Mtayarishaji) na Kazi Yangu Ya Kwanza Ni 1: Utayarishaji 2: Uigizaji 3: Director. Hivyo Ndoto Yangu Kubwa Ilikuwa Nikuhakikisha nakuwa Producer Mkubwa Africa/ Atleast Kwa Kuanzia Africa Mashariki" Amesema @jb_jerusalemfilms 🇹🇿 kwenye Moja Ya Interview Aliyoifanya Hivi Karibuni

Je, Ni Filamu Gani Ilikufanya Uwe Shabiki Wa Star Huyu Wa Filamu 🎬 ?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad