Nape Nnauye Aula..Ateuliwa Kuwa Waziri na Rais Samia...Arudi Wizara Aliyowekwa Kando na JPM
0Udaku SpecialJanuary 08, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Januari 8, 2022 amemteua Nape Moses Nnauye kuwa Waziri wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari