"Nasikiliza Taarabu kwa Sana, Hasa nikiwa na Deal na Mafaili" – Rais Samia Suluhu Hassan

 


”Nasikiliza taarabu kwa sana, hasa nikiwa na deal (shukhulika) na mafaili inakuwa hapo pembeni.”- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

”Nikiona kichwa kimejaa tiba yangu ni wajukuu, napiga simu niletee, wakija piga kelele, kimbizana kwenye ngazi. Wakirudi wanakokaa basi ubongo umepumzika,”- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad