Nay Awachana Wasanii Wanaopewa Magari na Lebo



KUTOKA kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii.

“Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza kununua ya kwenu kwa hela zenu coz muziki huu una hela huu ndio maana wao wanaweza hata kuwadanganya na hayo magari na kuwadharirisha kwa kuwapokonya. #hunijui limeboa soon napiga tour najinunulia ligari langu lingine likubwa,” ameandika Nay.

Unahisi #Nay amelenga wasanii gani au label gani ambao wanawapa magari wasanii wao na kuwanyang’anya??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad