Web

PICHA: Muamuzi wa kwanza wa kike kutoka Barani Afrika kuchezesha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), Mrembo Kweli


Muamuzi wa Kati kutoka nchini Rwanda, Salima Mukansanga ameweka rekodi leo Januari 18, 2022 kuwa muamuzi wa kwanza wa kike kutoka Barani Afrika kuchezesha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON).





Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad