Kigezo kikubwa cha kumsain Queen Darling pale WCB, kilikuwa ni kipi? Waliangalia kipaji au Undugu? Maana Ni zaidi ya miaka mitano tangu wamsain pale na hatujaona mafanikio yoyote.
Sizani kama Queen amewaingizia faida yoyote WCB zaidi amefaidika yeye tu. Ninahisi ndio msanii pekee pale ambaye hafanyi vizuri katika Biashara ya muziki Kwenye lebo hiyo
Je ni sawa kufanya kazi kiundugu?, maana tunaona hata Romy Jones alikuwa Dj wa Diamond na akashirikiana nae katika shows kadhaa, lakini baada ya ile wasafi festival ya kwanza akawa amesimama kufanya kazi na Diamond e.
Vipi wewe hapo, Je, unaweza kumpa nafasi ndugu yako ingawa unajua kabisa kwamba Hatoshi katika nafasi hiyo?
By Hopetyga