Rais Samia "Kabudi amefanya kazi nzuri sana Kusimamia Mikata, Namkabidhi Aendelee na Kazi Hiyo"


“Kabudi amefanya kazi nzuri sana, kusimamia mazungumzo ya Serikali na Mashirika na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi kindakindaki aendelee na kazi hiyo, ila kazi yake Kwa sababu haipo kwenye muundo haitangazwi lakini atasimamia hiyo kazi, Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali Kabudi ataongoza hiyo Timu, Yeye ni baba mikataba, baba negotiations ” Rais Samia Suluhu Hassan

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad