Rais Samia "Lukuvi Hata Kuwa Spika Namvuta Ikulu Kuna Kazi Nitampa"


“Lukuvi yeye ana Kazi na mimi mtaisikia baadaye lakini namvuta Ikulu kazi yetu ni kuwasimamia ninyi, msikae hapa mkasema ‘afadhali Lukuvi katoka’ hajatoka yupo wengine wameanza kumletea meseji za ajabu ajabu wakijua atagombania Uspika, Lukuvi hatagombania ana kazi na mimi hatakuwa Spika wala hatagombania msianze kumchafua" - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kumaliza Zoezi la kuwaapisha Viongozi walioteuliwa Hivi Karibuni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad